# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kwa kile kilichotokea hapo nyuma. # Hii ilikuwa ni miji yenye ngome yote "Hii ilikuwa miji iliyolindwa yote" # badala ya "kwa nyongeza" au "si pamoja" # Sihoni Hili ni jina la mfalme. # Heshbon Hili ni jina la mji. # kuharibu kikamilifu kila mji "kuua watu wote walioishi kwenye kila mji"