sw_tn/deu/02/28.md

750 B

Taarifa ya ujumla

Hii inaendeleza ujumbe wa Musa kwa mfalme Sihoni

Utaniuzia chakula mimi kwa pesa, ili kwamba niweze kula; nipe maji kwa pesa, ili kwamba niweze kunywa.

Musa anamwambia Sihon kwamba wanaisraeli hawataiba kutoka kwa Amorite na maombi kwamba Sihon na watu wake wanauza chakula na maji kwa wanaisraeli; hawapi amri. "Nategemea kulipa kwa ajili ya chakula ili kwamba niweze kula na kulipa kwa ajili ya maji ili niweze kunywa"

niuzie mimi...niweze kula...nime mimi...niweze kunywa

Musa anarejea kwa watu wa Israel kama walikuwa Musa mwenyewe. "Niuzie maji na watu wangu...tuweze kula...tupe...tuweze kunywa"

pekee niruhusu nipite kwa miguu yangu

"pekee niruhusu kutembea kupitia mkono wako"

Ar

Hili ni jina la eneo.