# Taarifa ya ujumla Hii inaendeleza ujumbe wa Musa kwa mfalme Sihoni # Utaniuzia chakula mimi kwa pesa, ili kwamba niweze kula; nipe maji kwa pesa, ili kwamba niweze kunywa. Musa anamwambia Sihon kwamba wanaisraeli hawataiba kutoka kwa Amorite na maombi kwamba Sihon na watu wake wanauza chakula na maji kwa wanaisraeli; hawapi amri. "Nategemea kulipa kwa ajili ya chakula ili kwamba niweze kula na kulipa kwa ajili ya maji ili niweze kunywa" # niuzie mimi...niweze kula...nime mimi...niweze kunywa Musa anarejea kwa watu wa Israel kama walikuwa Musa mwenyewe. "Niuzie maji na watu wangu...tuweze kula...tupe...tuweze kunywa" # pekee niruhusu nipite kwa miguu yangu "pekee niruhusu kutembea kupitia mkono wako" # Ar Hili ni jina la eneo.