sw_tn/deu/02/28.md

20 lines
750 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Hii inaendeleza ujumbe wa Musa kwa mfalme Sihoni
# Utaniuzia chakula mimi kwa pesa, ili kwamba niweze kula; nipe maji kwa pesa, ili kwamba niweze kunywa.
Musa anamwambia Sihon kwamba wanaisraeli hawataiba kutoka kwa Amorite na maombi kwamba Sihon na watu wake wanauza chakula na maji kwa wanaisraeli; hawapi amri. "Nategemea kulipa kwa ajili ya chakula ili kwamba niweze kula na kulipa kwa ajili ya maji ili niweze kunywa"
# niuzie mimi...niweze kula...nime mimi...niweze kunywa
Musa anarejea kwa watu wa Israel kama walikuwa Musa mwenyewe. "Niuzie maji na watu wangu...tuweze kula...tupe...tuweze kunywa"
# pekee niruhusu nipite kwa miguu yangu
"pekee niruhusu kutembea kupitia mkono wako"
# Ar
Hili ni jina la eneo.