sw_tn/deu/02/26.md

24 lines
602 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israel.
# Nakutuma
Hapa "na" urejea kwa Musa
# jangwa la Kedemoth
Hili ni jina la eneo karibu na bonde la Arnon.
# Sihon...Heshbon
Haya ni majina ya mwanaume na eneo.
# pamoja na maneno ya amani
Hapa "maneno ya amani" umaanisha "pamoja na toleo la amani" au "pamoja na ujumbe kutoka kwangu kuuliza kwa ajili ya amani."
# Nitageuka wala kwa mkono wa kulia wala wa kushoto.
Haya maneno yanasisitiza kwamba wakati wote wataenda kwa upande uleule. Inaweza kutajwa katika kauli chanja. "Nitageuza uelekeo" au "Nita wakati wote katika njia"