# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israel. # Nakutuma Hapa "na" urejea kwa Musa # jangwa la Kedemoth Hili ni jina la eneo karibu na bonde la Arnon. # Sihon...Heshbon Haya ni majina ya mwanaume na eneo. # pamoja na maneno ya amani Hapa "maneno ya amani" umaanisha "pamoja na toleo la amani" au "pamoja na ujumbe kutoka kwangu kuuliza kwa ajili ya amani." # Nitageuka wala kwa mkono wa kulia wala wa kushoto. Haya maneno yanasisitiza kwamba wakati wote wataenda kwa upande uleule. Inaweza kutajwa katika kauli chanja. "Nitageuza uelekeo" au "Nita wakati wote katika njia"