sw_tn/deu/02/26.md

602 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israel.

Nakutuma

Hapa "na" urejea kwa Musa

jangwa la Kedemoth

Hili ni jina la eneo karibu na bonde la Arnon.

Sihon...Heshbon

Haya ni majina ya mwanaume na eneo.

pamoja na maneno ya amani

Hapa "maneno ya amani" umaanisha "pamoja na toleo la amani" au "pamoja na ujumbe kutoka kwangu kuuliza kwa ajili ya amani."

Nitageuka wala kwa mkono wa kulia wala wa kushoto.

Haya maneno yanasisitiza kwamba wakati wote wataenda kwa upande uleule. Inaweza kutajwa katika kauli chanja. "Nitageuza uelekeo" au "Nita wakati wote katika njia"