sw_tn/deu/02/12.md

12 lines
307 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu watu wa makundi tofauti walioishi katika nchi.
# Horites
Hili ni jina la kundi la watu
# kuwateketeza wao kutoka mbele zao
"Kuwaua wote hivyo hakuna yeyote kati yao waliobaki kuishi nao" au "kuwaondoa kutoka katika uwepo wao kwa kuwaua wote"