sw_tn/deu/02/12.md

307 B

Taarifa ya ujumla

Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu watu wa makundi tofauti walioishi katika nchi.

Horites

Hili ni jina la kundi la watu

kuwateketeza wao kutoka mbele zao

"Kuwaua wote hivyo hakuna yeyote kati yao waliobaki kuishi nao" au "kuwaondoa kutoka katika uwepo wao kwa kuwaua wote"