# Taarifa ya ujumla Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu watu wa makundi tofauti walioishi katika nchi. # Horites Hili ni jina la kundi la watu # kuwateketeza wao kutoka mbele zao "Kuwaua wote hivyo hakuna yeyote kati yao waliobaki kuishi nao" au "kuwaondoa kutoka katika uwepo wao kwa kuwaua wote"