sw_tn/deu/01/43.md

603 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

kuvamia nchi ya mlima

Haya maneno "nchi ya mlima" husimama kwa ajili ya watu ambao wanaishi huko. "wavamie watu ambayo wanaoishi kwenye nchi ya mlima"

kuwafukuza kama nyuki

Nyuki ni mdudu mdogo, arukae kwa kundi kubwa na kuuma watu wanaowatishia. Hii inamaanisha kwamba Wamorites wengi waliwavamia askari wa Israeli kwamba wanapaswa kuacha vita.

kukupiga chini huko Seir, mbali kama Hormah

"kukupiga wewe chini katika nchi ya Seir na kukufukuza wewe mbali kama mji wa Hormah"

kukupiga wewe chini

"kuua askari wengi wako"