sw_tn/deu/01/43.md

20 lines
603 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# kuvamia nchi ya mlima
Haya maneno "nchi ya mlima" husimama kwa ajili ya watu ambao wanaishi huko. "wavamie watu ambayo wanaoishi kwenye nchi ya mlima"
# kuwafukuza kama nyuki
Nyuki ni mdudu mdogo, arukae kwa kundi kubwa na kuuma watu wanaowatishia. Hii inamaanisha kwamba Wamorites wengi waliwavamia askari wa Israeli kwamba wanapaswa kuacha vita.
# kukupiga chini huko Seir, mbali kama Hormah
"kukupiga wewe chini katika nchi ya Seir na kukufukuza wewe mbali kama mji wa Hormah"
# kukupiga wewe chini
"kuua askari wengi wako"