# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # kuvamia nchi ya mlima Haya maneno "nchi ya mlima" husimama kwa ajili ya watu ambao wanaishi huko. "wavamie watu ambayo wanaoishi kwenye nchi ya mlima" # kuwafukuza kama nyuki Nyuki ni mdudu mdogo, arukae kwa kundi kubwa na kuuma watu wanaowatishia. Hii inamaanisha kwamba Wamorites wengi waliwavamia askari wa Israeli kwamba wanapaswa kuacha vita. # kukupiga chini huko Seir, mbali kama Hormah "kukupiga wewe chini katika nchi ya Seir na kukufukuza wewe mbali kama mji wa Hormah" # kukupiga wewe chini "kuua askari wengi wako"