sw_tn/deu/01/39.md

264 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israel kilichofanya.

hakuna maarifa mazuri au mabaya

Hawajui bado kipi kizuri na kipi kibaya.

geuka na anza safari yako

"geuka nyuma na uende tena kwa njia uliopitia"