sw_tn/deu/01/39.md

12 lines
264 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israel kilichofanya.
# hakuna maarifa mazuri au mabaya
Hawajui bado kipi kizuri na kipi kibaya.
# geuka na anza safari yako
"geuka nyuma na uende tena kwa njia uliopitia"