# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israel kilichofanya. # hakuna maarifa mazuri au mabaya Hawajui bado kipi kizuri na kipi kibaya. # geuka na anza safari yako "geuka nyuma na uende tena kwa njia uliopitia"