sw_tn/deu/01/37.md

16 lines
505 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israeli kilichofanya.
# Yahwe alikuwa na hasira nami kwa sababu yako
Hii urejea kwa wakati Musa aliposhindwa kutii kile Yahwe alichokuwa amemwambia kufanya kwa sababu Musa alikuwa na hasira na watu wa Israel.
# Nun
Hili ni jina la baba yake Yoshua
# yupi asimamae mbele yako
Kwanini Yoshua anasimama mbele ya Musa kunaweza kutajwa kwa ufasaha. "yupi anasimama mbele yako kama mtumishi" au "yupi anayekusaidia"