# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israeli kilichofanya. # Yahwe alikuwa na hasira nami kwa sababu yako Hii urejea kwa wakati Musa aliposhindwa kutii kile Yahwe alichokuwa amemwambia kufanya kwa sababu Musa alikuwa na hasira na watu wa Israel. # Nun Hili ni jina la baba yake Yoshua # yupi asimamae mbele yako Kwanini Yoshua anasimama mbele ya Musa kunaweza kutajwa kwa ufasaha. "yupi anasimama mbele yako kama mtumishi" au "yupi anayekusaidia"