sw_tn/deu/01/37.md

505 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha Israeli kilichofanya.

Yahwe alikuwa na hasira nami kwa sababu yako

Hii urejea kwa wakati Musa aliposhindwa kutii kile Yahwe alichokuwa amemwambia kufanya kwa sababu Musa alikuwa na hasira na watu wa Israel.

Nun

Hili ni jina la baba yake Yoshua

yupi asimamae mbele yako

Kwanini Yoshua anasimama mbele ya Musa kunaweza kutajwa kwa ufasaha. "yupi anasimama mbele yako kama mtumishi" au "yupi anayekusaidia"