sw_tn/deu/01/20.md

407 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel ambacho kizazi cha awali cha wanaisrael walifanya.

Tazama...Mungu wenu...mbele yenu;nenda juu, miliki...baba zenu...kwenu; usiogope, wala kukatishwa tamaa.

Musa anazungumza na wanaisraeli kama alikuwa anazungumza na mtu mmoja, basi fomu hizi zinapaswa kuwa umoja, siyo wingi.

ametayarisha nchi mbele yenu

"sasa anawapa nchi hii kwenu."