# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel ambacho kizazi cha awali cha wanaisrael walifanya. # Tazama...Mungu wenu...mbele yenu;nenda juu, miliki...baba zenu...kwenu; usiogope, wala kukatishwa tamaa. Musa anazungumza na wanaisraeli kama alikuwa anazungumza na mtu mmoja, basi fomu hizi zinapaswa kuwa umoja, siyo wingi. # ametayarisha nchi mbele yenu "sasa anawapa nchi hii kwenu."