sw_tn/deu/01/20.md

12 lines
407 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel ambacho kizazi cha awali cha wanaisrael walifanya.
# Tazama...Mungu wenu...mbele yenu;nenda juu, miliki...baba zenu...kwenu; usiogope, wala kukatishwa tamaa.
Musa anazungumza na wanaisraeli kama alikuwa anazungumza na mtu mmoja, basi fomu hizi zinapaswa kuwa umoja, siyo wingi.
# ametayarisha nchi mbele yenu
"sasa anawapa nchi hii kwenu."