sw_tn/deu/01/09.md

24 lines
592 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Musa aliendelea kuwakumbusha watu wa Israeli ambayo Yahwe alivyosema nao.
# Niliongea nanyi kwa watkia huo
Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Maneno "kwa wakati huo" urejea kwa wakati wanaisrael walipokuwa Horebu, ambayo ni sawa kama mlima Sinai.
# Siwezi kuwabeba mimi peke yangu
Hapa "kuwabeba" umaanisha "kuwaongoza ninyi" au kuwatawala ninyi." "Hii ni zaidi kwangu kuwaongoza mwenyewe"
# kama umati wa nyota za mbinguni
Hii ni kutia chumvi ambako kunamaanisha Mungu ameongeza idadi ya wanaisraeli
# mara elfu
Maneno "mara elfu" ni fumbo la "nyingi sana"
# elfu
1000