# Taarifa ya jumla Musa aliendelea kuwakumbusha watu wa Israeli ambayo Yahwe alivyosema nao. # Niliongea nanyi kwa watkia huo Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Maneno "kwa wakati huo" urejea kwa wakati wanaisrael walipokuwa Horebu, ambayo ni sawa kama mlima Sinai. # Siwezi kuwabeba mimi peke yangu Hapa "kuwabeba" umaanisha "kuwaongoza ninyi" au kuwatawala ninyi." "Hii ni zaidi kwangu kuwaongoza mwenyewe" # kama umati wa nyota za mbinguni Hii ni kutia chumvi ambako kunamaanisha Mungu ameongeza idadi ya wanaisraeli # mara elfu Maneno "mara elfu" ni fumbo la "nyingi sana" # elfu 1000