sw_tn/deu/01/09.md

592 B

Taarifa ya jumla

Musa aliendelea kuwakumbusha watu wa Israeli ambayo Yahwe alivyosema nao.

Niliongea nanyi kwa watkia huo

Hapa "Ni" urejea kwa Musa. Maneno "kwa wakati huo" urejea kwa wakati wanaisrael walipokuwa Horebu, ambayo ni sawa kama mlima Sinai.

Siwezi kuwabeba mimi peke yangu

Hapa "kuwabeba" umaanisha "kuwaongoza ninyi" au kuwatawala ninyi." "Hii ni zaidi kwangu kuwaongoza mwenyewe"

kama umati wa nyota za mbinguni

Hii ni kutia chumvi ambako kunamaanisha Mungu ameongeza idadi ya wanaisraeli

mara elfu

Maneno "mara elfu" ni fumbo la "nyingi sana"

elfu

1000