sw_tn/deu/01/07.md

626 B

Taarifa ya jumla

Musa anaendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile alichosema Yahwe kwao.

Geuka na anza safari yako

"Anza tena safari yako"

nchi ya mlima...Euphrates

Yahwe anaeleza maeneo katika nchi kwamba ameahidi kuwapa wanaisraeli.

nchi ya mlima

Hili ni eneo katika milima karibu na eneo ambapo Wamorites waliishi.

nchi ya chini

eneo la nchi ambayo liko chini na tambarare

Tazama

"Zingatia yale ninayoenda kusema"

Nimeweka nchi mbele yako

"Sasa naenda kukupa nchi hii"

kwamba Yahwe aliapa

Yahwe anazungumza kama alikuwa mtu mwingine.

baba

Neno "baba" ni neno lenye maana sawa na mababu.