sw_tn/deu/01/07.md

36 lines
626 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Musa anaendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile alichosema Yahwe kwao.
# Geuka na anza safari yako
"Anza tena safari yako"
# nchi ya mlima...Euphrates
Yahwe anaeleza maeneo katika nchi kwamba ameahidi kuwapa wanaisraeli.
# nchi ya mlima
Hili ni eneo katika milima karibu na eneo ambapo Wamorites waliishi.
# nchi ya chini
eneo la nchi ambayo liko chini na tambarare
# Tazama
"Zingatia yale ninayoenda kusema"
# Nimeweka nchi mbele yako
"Sasa naenda kukupa nchi hii"
# kwamba Yahwe aliapa
Yahwe anazungumza kama alikuwa mtu mwingine.
# baba
Neno "baba" ni neno lenye maana sawa na mababu.