sw_tn/deu/01/01.md

16 lines
419 B
Markdown

# zaidi ya Yordani
Hii urejea kwa nchi kuvuka mto wa Yordani, mashariki mwa Israel. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati alipozungumza na wanaIsraeli.
# Sufu...Parani...Tofeli...Labani...Hazarothi...DiZahabu
Haya ni majina ya sehemu.
# Ni safari ya siku kumi na moja kutoka Horebu... kwenda Kadeshi ya Barnea.
"Huchukua siku kumi na moja kutembea kutoka Horebu...kwenda Kadeshi ya Barnea"
# Kumi na moja
11