# zaidi ya Yordani Hii urejea kwa nchi kuvuka mto wa Yordani, mashariki mwa Israel. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati alipozungumza na wanaIsraeli. # Sufu...Parani...Tofeli...Labani...Hazarothi...DiZahabu Haya ni majina ya sehemu. # Ni safari ya siku kumi na moja kutoka Horebu... kwenda Kadeshi ya Barnea. "Huchukua siku kumi na moja kutembea kutoka Horebu...kwenda Kadeshi ya Barnea" # Kumi na moja 11