sw_tn/deu/01/01.md

419 B

zaidi ya Yordani

Hii urejea kwa nchi kuvuka mto wa Yordani, mashariki mwa Israel. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati alipozungumza na wanaIsraeli.

Sufu...Parani...Tofeli...Labani...Hazarothi...DiZahabu

Haya ni majina ya sehemu.

Ni safari ya siku kumi na moja kutoka Horebu... kwenda Kadeshi ya Barnea.

"Huchukua siku kumi na moja kutembea kutoka Horebu...kwenda Kadeshi ya Barnea"

Kumi na moja

11