sw_tn/dan/09/27.md

32 lines
798 B
Markdown

# Ata....ata...
Hii inamrejelea mtawala akayekuja ambaye atamharibu mpakwa mafuta.
# miaka saba...Katikati ya miaka saba
Mahali neno "saba" limetumika kurejelea kipindi cha miaka saba.
# atakomesha
"kuacha" au "kusimamisha"
# dhabihu na sadaka
maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kile kile. Marudio yanaonesha kwamba mtawala ajayea atakomesha aina zote za sadaka.
# mtu atakayeleta ukiwa
Mtu ambaye atateketeza kabisa"
# Mwisho kamili na uharibifu umeamriwa kutokea kwa yeye aliyesababisha ukiwa.
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu ameamuru kwamba ataleta mwisho kamili na uharibifu"
# Mwisho kamili na uharibifu
Maneno haya mawili yana maana moja. Yanatia mkazo juu ya uhalali na ukamilifu wa uharibifu.
# yeye aliyesababisha ukiwa
"mtu ambaye ataleta uharibifu"