# Ata....ata... Hii inamrejelea mtawala akayekuja ambaye atamharibu mpakwa mafuta. # miaka saba...Katikati ya miaka saba Mahali neno "saba" limetumika kurejelea kipindi cha miaka saba. # atakomesha "kuacha" au "kusimamisha" # dhabihu na sadaka maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kile kile. Marudio yanaonesha kwamba mtawala ajayea atakomesha aina zote za sadaka. # mtu atakayeleta ukiwa Mtu ambaye atateketeza kabisa" # Mwisho kamili na uharibifu umeamriwa kutokea kwa yeye aliyesababisha ukiwa. Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu ameamuru kwamba ataleta mwisho kamili na uharibifu" # Mwisho kamili na uharibifu Maneno haya mawili yana maana moja. Yanatia mkazo juu ya uhalali na ukamilifu wa uharibifu. # yeye aliyesababisha ukiwa "mtu ambaye ataleta uharibifu"