# tundu la simba
Hii inarejelea chumba au shimo mahali simba walikuwa wanatunzwa
# Hakuna dhara lolote lililoonekana kwake
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Hawakuona jeraha lolote kwa Danieli"