# tundu la simba Hii inarejelea chumba au shimo mahali simba walikuwa wanatunzwa # Hakuna dhara lolote lililoonekana kwake Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Hawakuona jeraha lolote kwa Danieli"