sw_tn/dan/06/06.md

24 lines
496 B
Markdown

# walileta mpango mbele ya mfalme
"waliwasilisha mpango kwa mfalme"
# Mfalme Dario, uishi milele!
Hii ilikuwa ni njia ya kawaida ya kumsalimia mfalme.
# siku thelathini
"kwa siku 30"
# mtu yeyote anayefanya dua
"yeyote atakayetoa ombi"
# mtu huyo lazima atupwe katika tundu la simba
Maneno haya yaweza kuelezeka kwa muundo tendaji. "wanajeshi wako lazima wamtupe mtu huyo katika tundu la simba"
# tundu la simba
Hii inarejelea chumba au shimo mahali ambapo simba walikuwa wametunzwa