sw_tn/dan/05/25.md

28 lines
806 B
Markdown

# Haya ndiyo maandishi ambayo yaliandikwa
Kwa kutumia muundo tendaji twaweza kusema. " huu ni ujumbe ambao uliandikwa na mkono"
# 'Mene, Mene, Tekeli na Peresin.
Haya ni maneno ya Kiramaiki ambayo yalikuwa yameandikwa ukutani.
# 'Mene,' 'Mungu ameuhesabu
"mene' ina maana ya kuwa Mungu amehesabu"
# Tekeli' 'umepimwa katika mizani
"Tekeli' ina maana ya wewe umepimwa"
# Peresi' 'ufalme wako
"Peresi" ina maana ya ufalme wako
# 'umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua
kuhukumu na kuamua juu ya uthamani kwa mfalme katika kutawala unasemwa kana kwamba ni kumpima. Hii ina maana ya kwamba mfalme hafai kuongoza/kutawala.
# 'ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.'"
Kwa kutumia muundo tendaji twaweza kusema. "Mungu ameugawa ufalme wako na amewapa Wamedi na Waajemi.