# Haya ndiyo maandishi ambayo yaliandikwa Kwa kutumia muundo tendaji twaweza kusema. " huu ni ujumbe ambao uliandikwa na mkono" # 'Mene, Mene, Tekeli na Peresin. Haya ni maneno ya Kiramaiki ambayo yalikuwa yameandikwa ukutani. # 'Mene,' 'Mungu ameuhesabu "mene' ina maana ya kuwa Mungu amehesabu" # Tekeli' 'umepimwa katika mizani "Tekeli' ina maana ya wewe umepimwa" # Peresi' 'ufalme wako "Peresi" ina maana ya ufalme wako # 'umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua kuhukumu na kuamua juu ya uthamani kwa mfalme katika kutawala unasemwa kana kwamba ni kumpima. Hii ina maana ya kwamba mfalme hafai kuongoza/kutawala. # 'ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.'" Kwa kutumia muundo tendaji twaweza kusema. "Mungu ameugawa ufalme wako na amewapa Wamedi na Waajemi.