sw_tn/dan/04/35.md

28 lines
812 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Katika mistari ya 34-37 Nebukadneza anaongelea katika nafsi ya kwanza katika kueleza jibu lake kwa Mungu.
# Wenyeji wote wa duniani huhesabiwa na yeye kuwa bure
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Huwahesabu wakaaji wote wa duniani kuwa si kitu"
# Wenyeji wote wa duniani
"watu wote katika dunia"
# jeshi la mbinguni
"jeshi la malaika huko mbinguni"
# hufanya lolote limpendezalo
"lolote linalotimiza kusudi lake" au kila kitu anachotaka kufanya"
# Hakuna hata mmoja awezaye kumzuia
Itakuwa na msaada kuongeza maelezo ya ziada. "Hakuna hata mmoja awezaye kumzuia kufanya kile alichoamua kufanya"
# Hakuna hata mmoja awezaye kumwambia, "Mbona umefanya hivi?"
Hii yaweza kuelezeka kwa kutumia nukuru isiyo ya moja kwa moja. "Hakuna awezaye kumwuliza kile anachofanya"