sw_tn/dan/03/28.md

16 lines
408 B
Markdown

# walipoikana amri yangu
Kutokutii amri ya mfalme kunasemwa kana kwamba kilikuwa kitendo dhahiri cha kutoka na kwenda mbali.
# waliitoa miili yao
Kirai hiki kinawahusu watu watatu waliokuwa wamehialika kufa kwa kile wanachokiamini.
# kusujudia
Kitendo hiki kina maana ya kulala katika nchi, uso ukiwa umeelekea chini, katika hali ya kuabudu.
# isipokuwa Mungu wao
kwa mungu mwingine isipokuwa Mungu"