# walipoikana amri yangu Kutokutii amri ya mfalme kunasemwa kana kwamba kilikuwa kitendo dhahiri cha kutoka na kwenda mbali. # waliitoa miili yao Kirai hiki kinawahusu watu watatu waliokuwa wamehialika kufa kwa kile wanachokiamini. # kusujudia Kitendo hiki kina maana ya kulala katika nchi, uso ukiwa umeelekea chini, katika hali ya kuabudu. # isipokuwa Mungu wao kwa mungu mwingine isipokuwa Mungu"