sw_tn/dan/02/10.md

8 lines
337 B
Markdown

# mkuu na mwenye nguvu
Maneno haya mawili kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na kutia mkazo juu ya ukubwa wa nguvu za Mfalme.
# hakuna yeyote awezaye kumwambia mfalme isipokuwa miungu
Maneno haya hameelezwa kwa kukanusha kwa ajili ya kutia mkazo. Yaweza pia kuelezwa kwa sentensi chanya. "Ni miungu tu yaweza kumwambia mfalme hili"