sw_tn/dan/01/03.md

44 lines
872 B
Markdown

# mfalme akamwambia
inmrejelea Nebukadneza
# Ashipenazi
Huyu alikuwa na afisa wake mkuu
# kiungwana
hili ni tabaka la juu sana la kijamii
# wasio na hila
Maneno haya mawili ya kukanusha kwa pamoja yametumika kutilia mkazo wazo chanya. "wenye mwonekano kamili"
# wenye kujawa na ufahamu na weledi
Hii ni nahau. Hii ina maana ya kwamba walijua vitu vingi na waliweza kupanga na kutumia maelezo yale.
# ikulu ya mfalme
Hii ni nyumba au jengo kubwa mahali ambapo mfalme aliishi
# Alitakiwa kuwafundisha
"Ashipanezi alitakiwa kuwafundisha"
# Mfalme aliwatengea kwa ajili yao
Maafisa wa mfalme walifanya hivyo kwa niaba ya mfalme.
# chakula kizuri
Chakula maalumu, adimu na kizuri ambacho mfalme alikula.
# Vijana hawa walitakiwa kufunzwa
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Ashipenazi alitakiwa kuwafunza vijana hawa"
# kufunzwa
"kufundisha maarifa"