# mfalme akamwambia inmrejelea Nebukadneza # Ashipenazi Huyu alikuwa na afisa wake mkuu # kiungwana hili ni tabaka la juu sana la kijamii # wasio na hila Maneno haya mawili ya kukanusha kwa pamoja yametumika kutilia mkazo wazo chanya. "wenye mwonekano kamili" # wenye kujawa na ufahamu na weledi Hii ni nahau. Hii ina maana ya kwamba walijua vitu vingi na waliweza kupanga na kutumia maelezo yale. # ikulu ya mfalme Hii ni nyumba au jengo kubwa mahali ambapo mfalme aliishi # Alitakiwa kuwafundisha "Ashipanezi alitakiwa kuwafundisha" # Mfalme aliwatengea kwa ajili yao Maafisa wa mfalme walifanya hivyo kwa niaba ya mfalme. # chakula kizuri Chakula maalumu, adimu na kizuri ambacho mfalme alikula. # Vijana hawa walitakiwa kufunzwa Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Ashipenazi alitakiwa kuwafunza vijana hawa" # kufunzwa "kufundisha maarifa"