sw_tn/col/01/21.md

36 lines
883 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Kristo hubadilisha dhambi za waumini wa mataifa kwa utakatifu wake.
# Na wewe pia
"Na ninyi Waamini wa Kolosai pia"
# Mlikuwa wageni kwa Mungu
"Mlikuwa mmtengwa kutoka kwa Mungu" au "mlikuwa mmesukumwa mbali naMungu."
# kuwaleta ninyi watakatifu, wasio na lawama mbele yake
Paulo anawaeleza Wakolosai ingawa Yesu aliwasafisha, kuwaweka katika nguo safi, na kuwaleta kusimama mbele ya Mungu Baba.
# bila lawama, na bila dosari
Paulo anatumia maneno mawili yenye maana zinazokaribiana kusisitiza wazo la ukamilifu. "kamili"
# mbele yake
"katika mtazamo wa Mungu" au "fikra ya Mungu"
# iliyotangazwa
ambayo waumini walitangaza
# kwa kila mtu aliyeumbwa chini ya mbingu
"kwa kila mtu katika dunia"
# injili ambayo mimi, Paulo, nimekuwa mtumishi
Paulo alikuwa mtumishi wa Mungu halizi. "injili ambayo mimi, Paulo, akimtumikia Mungu kwa kutaingaza"