# Sentensi Unganishi: Kristo hubadilisha dhambi za waumini wa mataifa kwa utakatifu wake. # Na wewe pia "Na ninyi Waamini wa Kolosai pia" # Mlikuwa wageni kwa Mungu "Mlikuwa mmtengwa kutoka kwa Mungu" au "mlikuwa mmesukumwa mbali naMungu." # kuwaleta ninyi watakatifu, wasio na lawama mbele yake Paulo anawaeleza Wakolosai ingawa Yesu aliwasafisha, kuwaweka katika nguo safi, na kuwaleta kusimama mbele ya Mungu Baba. # bila lawama, na bila dosari Paulo anatumia maneno mawili yenye maana zinazokaribiana kusisitiza wazo la ukamilifu. "kamili" # mbele yake "katika mtazamo wa Mungu" au "fikra ya Mungu" # iliyotangazwa ambayo waumini walitangaza # kwa kila mtu aliyeumbwa chini ya mbingu "kwa kila mtu katika dunia" # injili ambayo mimi, Paulo, nimekuwa mtumishi Paulo alikuwa mtumishi wa Mungu halizi. "injili ambayo mimi, Paulo, akimtumikia Mungu kwa kutaingaza"