sw_tn/amo/06/14.md

16 lines
297 B
Markdown

# tazama
"sikiiza" au "kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai."
# asema Bwana Yahwe
Hapa Mungu ananukuliwa.
# kutoka Lebo Hamathi hata kijito cha Araba
"kutoka mpaka wa kaskazini mwa mchi yako hata mpaka wa kusini"
# kijito
mto mdogo ambao hububujika kipindi cha majira ya unyevu pekee