# tazama "sikiiza" au "kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai." # asema Bwana Yahwe Hapa Mungu ananukuliwa. # kutoka Lebo Hamathi hata kijito cha Araba "kutoka mpaka wa kaskazini mwa mchi yako hata mpaka wa kusini" # kijito mto mdogo ambao hububujika kipindi cha majira ya unyevu pekee