sw_tn/amo/05/18.md

12 lines
323 B
Markdown

# Kwa nini mnairefusha siku ya Yahwe?
"Msiirefushe siku ya Yahwe!"
# Itakuwa giza na sio nuru
"Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea siku hiyo"
# Je siku ya Yahwe itakuwa giza na sio nuru?
"Siku ya Yahwe itakuwa giza hakika na sio nuru!" au "Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea hakika katika siku ya Yahwe!"