# Kwa nini mnairefusha siku ya Yahwe? "Msiirefushe siku ya Yahwe!" # Itakuwa giza na sio nuru "Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea siku hiyo" # Je siku ya Yahwe itakuwa giza na sio nuru? "Siku ya Yahwe itakuwa giza hakika na sio nuru!" au "Mambo mabaya, sio mambo mazuri, yatatokea hakika katika siku ya Yahwe!"