sw_tn/amo/02/04.md

306 B

Kwa dhambi tatu...hata kwa nne, sintobadilisha adhabu

Tazama jinsi ya kutafsiri haya maneno katika 1:3.

Uongo wao

Hili neno hapa ni kama linamaasha "miungu ya uongo" au "sanamu."

kupotea...kutembea

Kuabudu sanamu imezungumziwa kana kwamba watu walikuwa wakitembea nyuma ya hawa miungu wa uongo.